Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Hivi kumbe wanaume kama nyie bado mpo? Una hela unalia na mapenzi? Pole sana[emoji38][emoji38]
 
We jamaa ni kaizi kweli
Hapo mtaani kwako hakuna machangudoa, mama ntilie, wauza mchicha, wauza matunda, waosha nywele saloon au Bar maids?!
Kwanini uhangaike na kiumbe ambae hujui alizaliwa vipi na kukuzwa vipi?!
What If sio binadamu wa kawaida?!.
 
Sababu ziko tofauti! Mwanamke wako kiu ilikuwa ndoa. Wengine anakuchoka tu unakuta excitement imeisha tu yamebaki mazoea anatafta changamoto mpya huko nje! Akiipata vinaanza visa...

Kwa situation ya mtoa mada ni dhahiri hakupendwa toka awali ila hakulijua tu😂 mwanamke alimchukua kama hati ya dharura tu kabla hajampata wa type yake. Mwanamke akikolea vizuri hamuachani in two months period unless ana jini mahaba😂😂😂
 
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kauli mimi pia inanishangaza unakuta mtu anaanza "nampenda sana na yeye ananipenda sana " alafu chini yake anaanza kulia kwamba hamuelewi mpenzi wake
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mapenz kizungumkuti
 
Baya lipo.. kuna wakati KE akichukia huwa hasemi...Unaona mambo yanaanza kubadilika tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana shukurani huyo ila ni kawaida wanawake huwa na mapuuza sana ikiwa hisia hazija click vyedi! Mwanamke akipenda hata ukimlaza kwenye mkeka atakuona bill gates.

Humpi hata mia ila always she will be there for you sababu anaku feel deeply!
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio kiumbe wa wakawaida

Haahaahaa jf bana
 
Kifurushi kimeisha mkuu , jiongeze wadada wazuri wapo wengi
 
Ukiweza kujiua utakuwa umeepuka mengi
 
Hana shukurani huyo ila ni kawaida wanawake huwa na mapuuza sana ikiwa hisia hazija click vyedi! Mwanamke akipenda hata ukimlaza kwenye mkeka atakuona bill gates.

Humpi hata mia ila always she will be there for you sababu anaku feel deeply!
Iko hivyo.. Mwanamke akipenda atavumilia vingi..Ila ME akianza kuzingua tu taratibu Upendo unaanza kupungua.. Mwisho wa siku jamaa anaona mambo hayapo kama alivyozoea.. kuja kushtuka kaachwa siku nyingi... ilibaki utekelezaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…