Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Anausemea moyo wa mtu ambaye hata kupiga simu kwake ni kwa tabu na mateso na bila shaka atakuwa anakasirika kasirika hovyo kila jamaa anapoanza kulia lia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Yani mwanamke akikuchoka bana ni balaa
Hii mambo ya kusema ananipenda nshaonaga uduwanzi
 
Habarini wadau na washauri wa JF

Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi
Yuda=msaliti;
Nimetania tu.
Naomba nikushauri mkuu wangu. Ukweli ni kuwa umepata mshindani, umepimwa kwenye mizani umeonekana umepungua.

Kuna danga limeingilia mahusiano yenu.
Hebu kuwa mpole, endelea kuwa mkarimu kwake huku ukichukua tahadhari ukijua mko wawili.

Sikushauri umuache kwa haraka kwani wanawake ni hawahawa utaumizwa tu.
Najua hayo ni mapenzi mapya yamemvaa ipo siku atajirudisha.
Kuhusu akijirudisha uendelee naye au laa ni moyo wako.
Mpe nafasi, punguza kujipendekeza lakini akikutafuta mpe ushirikiano.

Kuna mbinu yangu huwa naitumia lkn hapa siiweki kwa sababu maalum.
 
Bro mapenzi yakikuzingua jaribu kwenye kilimo hasa cha pilipili..
 
Habarini wadau na washauri wa JF

Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi
Muda ambao umekuw naye kwenye mahusiano ni mdog San kuthibitisha kwamba anakupenda,mara nying huwa ni mihemuko Tu Lkn sasa ameanza kukuonesha uhalisia, ktk mahusiano ni rahis San kufake na wakt mwngne ni vgumu San kutofautisha fake na original, mpe Muda kisha utaelewa Lkn Jambo la msingi Zaid jitahd kuzuia mapenzi yakutawale maan hakuna anayeaminika Kweny ulimwengu wa mahusiano wa sasa
 
Nipe namba yake nikusaidie kitu utakuja kunishukuru
 
Sasa umwache vp mtu ambaye tayar kashakuacha!!!... yan unatuuliza uta cancel vp ticket ya flight wakat ushachelewa airport bombardia ishaondoka?
Unakwama wapi..Wewe bebi vifurshi vyako geuka ulikotoka imeisha hiyooo
 
Unapitia wakati mgumu pole saana alizibeba hisia zako Sasa ivi anazichezea atakavyo kwakuwa yeye ndo mwenye remote! Ila bro we Mwanaume fanya maamuzi ya kiume iambie nafsi yako kuwa wewe ni Mwanaume uneumbwa kuongoza na sio kuongozwa.


Move on maana hakuna Mwanaume alieendekeza mapenzi yakamuacha salama Anza kwa Adam na Eva njoo kwa Daudi na Delila malizia kwa jamaa yako......
 
Mwaka jana nimeachana na X tuliyedate 5 years patia picha maumivu yake, wewe mwezi mmoja unatoa milio ya Nokia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…