Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Inaonekana bidada amefanya jitihada ili umtambulishe kwao au utangaze Ndoa ameona kimya
Akajua hapo hamna ndoa, ni kupass time tu (hit and run) hivyo ndio anajiongeza ILI Usije kumzibia fursa halafu ukamwacha
1. Mmekuwa kwenye mahusiano kwa muda gani?
2. Kwani ulishawahi kuongelelea future ya mapenzi yenu (serious) sio ile ya kisekondari
3. Ulishawahi kumtambulisha hata kwa ndugu zako au kwa rafiki zako wa karibu?

Kama hayo hapo hujayafanyia kazi basi wewe ndiye chanzo





2.
 
Kaka ujue kuna mtu anakusaidia muda mwingine kuna maeneo ulikuwaumfikishi, sasa kapata wa kumfikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…