Kuna Dawa mbadala ya kienyeji ambayo wengi hawaijui ambayo hutibu na kuondoa malari ndani ya siku tano, Mbegu za
mpapai zikaushiwe ndani bila kukutana na mwanga wa jua, baada ya kukauka zipondwepondwe na kuzisaga harafu
zichujwe kwa chujuo ili kupata unga wake, chukua kijiko kidogo jaza weka kwenye kikombe cha maji ya moto
changanganya kunywa mara mbili kwa siku ukitumia na panando ndani yasiku tano malaria kwisha.
Mkuu Baba V acha kulia unalia kitu gani tena?MziziMkavu uuuu!!!!!!!
Jamani wandugu nimekuwa na malaria isiyoisha, yani simalizi mwezi cjaugua malaria zaidi ya mara mbili, nimeshacheck full blood picture hakijaonekana kitu zaidi ya malaria, msaada pls.