miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
- Thread starter
-
- #161
Hii aibu dah mambo haya sio ya kuyaanika hadharani...mngenongonezana huko mkashauriana na kama ingeshindikana mngemuacha kaka wa watu...I feel sorry for him maskini nishai....
kwani bastola zimepigwa marufuku siku hizi?
Mi namshauri wewe na yeye muache uzinzi.
wala usijali na yeye nimwizi ndo maana anajua wezi wenzake
Halafu mbona naona solution ulikuwa nayo kabla hata hujaandika...Umesema mtu hamjali,Hana pesa (Kitu ambacho umekipa kipaumbele),Mambo ya 6*6 ni zero sasa anasubiria nini miaka yote mitano hio....Is she waiting for a miracle from GOD to happen???Aachane na mambo ya familia huyo mwanaume ataishi nae yeye na si yoyote so SHE IS RESPONSIBLE FOR HER HAPPINESS AND SHE SHOULD LIVE HER LIFE UNDER HER CONDITIONS PERIOD!!!!!Au hajielewi anataka nini ndo maana anatapatapa?i thought i help?
hela yake ya kawaida ya kumtosheleza jamaa tu...... wakikutana jamaa anakuwa bussy na simu hana mda na demu wake kabisa .....
Huu ni ukweli au uongo? Nani kafundihswa jinsi ya kugegeda? No No ana maruhani yake huyo sio bure....ila na wewe unaoneka unamsifia sana mwenzio unapotoka kugegedwa ndio maana anakuonea wivu! Bisha
nawaonya wengine, wewe hupendi haya makitu, tunafanyaga mara moja kwa mwezi. LOLmpenzi ndo umeongea hapa mbona me sipendi na unajua ni wachache tu bwana
me siyo mzinzi unikome
Hapo umeongea. Maana zamani hata hamfanyi mpaka siku ya harusi. Utakachopata ndio hicho, wala hujui kama ndio inabidi ki-feel hivyo au la!...maisha yale bwana!Ahahahaha!
Samahani kicheko kimeniponyoka.
Ila nyie watoto mmezidi utaalamu hadi mnajiponza. Mmezoea maharage yenye magadi basi mkikuta hotelini wametia nazi mnaona sio matamu! Enzi zetu aliekupenda ndo huyo huyo basi ndo hujui mbichi wala mbovu, unakula na kijulamba vidole. Khaa!
Naomba niwe wa mwisho kuamini kuwa hili swala hali kuhusu wewe.
Samahani lakini.
Kama mimi ndio ningekuwa huyo mwanaume sasa ndio ungekuwa wakati muafaka wa kununua bastola