Jamani mapenzi hujui, pesa huna unang'ang'aniza ndoa loh!

Jamani mapenzi hujui, pesa huna unang'ang'aniza ndoa loh!

Bahati inaondoka iyo mwambie hatoweza kumpata mwanaume atakae funga nae ndoa zaidi ya wasugua gaga wenzie a.k.a porn stars naomba umwelewe kijana gitaa lake dogo hakujua kama anaenda tumbuiza uwanja wa taifa...washenzi ninyi mnapenda ngono mno.
 
Nasikia leo mtu anafundishwa kugegeda, kuna mtu atakuja na threat kuuliza papuchi iko wapi!
 
Ntasema haya
1. Mwanamme hajui mapenzi afu kakaa naye miaka 5?
2. Tafuta mwanamme akuweke busy, mapenzi ya rafiki yako yasikunyime usingizi.

Khaa madam hupepesi jicho, Nakubaliana s1 is skng justification.
If u wanna go just go.
 
Bahati inaondoka iyo mwambie hatoweza kumpata mwanaume atakae funga nae ndoa zaidi ya wasugua gaga wenzie a.k.a porn stars naomba umwelewe kijana gitaa lake dogo hakujua kama anaenda tumbuiza uwanja wa taifa...washenzi ninyi mnapenda ngono mno.
jamani mmh aya........... yasijekukuta tu ukaachama mdomo
 
My sis Miss Chagga, umemdunisha cna shem wako, nadhani ana mengi mazuri kiasi cha rafiki yako kudum nae kwa miaka 5. Waoaji wachache siku hizi mbona hakuna lisilorekebishika hapo?
 
Ntasema haya
1. Mwanamme hajui mapenzi afu kakaa naye miaka 5?
2. Tafuta mwanamme akuweke busy, mapenzi ya rafiki yako yasikunyime usingizi.

Kweli utuuzima dawa....maana hapo namba 2 umegusa ikulu.....kwa kifupi, rafiki yake ni yeye mwenyewe....i.e anatumia nafsi ya tatu...staili ya uandishi tu...
 
kwanini asifanye ile syle ya mwanaume chini ke juu, ajirushe mpk aridhike? mhh!! ila mme mtu hachaguliwi lol

kafanya yote hayo rafiki dushelele lina lala hasa akimaliza goli la kwanza na wakati mwingini aisimami kabisa
 
Ahahahaha!
Samahani kicheko kimeniponyoka.
Ila nyie watoto mmezidi utaalamu hadi mnajiponza. Mmezoea maharage yenye magadi basi mkikuta hotelini wametia nazi mnaona sio matamu! Enzi zetu aliekupenda ndo huyo huyo basi ndo hujui mbichi wala mbovu, unakula na kijulamba vidole. Khaa!
you have spoken King'asti
 
Kweli utuuzima dawa....maana hapo namba 2 umegusa ikulu.....kwa kifupi, rafiki yake ni yeye mwenyewe....i.e anatumia nafsi ya tatu...staili ya uandishi tu...

wala situmii nafsi ya tatu ninamwakilisha my rafiki....
 
kafanya yote hayo rafiki dushelele lina lala hasa akimaliza goli la kwanza na wakati mwingini aisimami kabisa

sweetie miss chagga uje na maelezo ya kutosha leo unaporudi nyumbani, it seems unamjua zaidi huyu jamaa wa rafiki yako kuliko hata unijuavyo mimi
 
Back
Top Bottom