Huyo mdada wa kumpelekea mwanaume picha za ngono ati kupata style ndio unaita wife material?
What is your definition of wife material? mimi binti wa hivo sioi kabisa, Ngono kati ya wapendanao ni ya kuenjoy wawili kwa ukimya, kutafuta position zenu wenyewe ambazo zitawafurahisha, in low light n polepole kwa emotions, sasa huyo mpenda kugegedwa anataka style za kwenye tv ndio unasema wife material? haha is this a joke miss chaga? leo nimeona nguvu kazi za taifa zaidi ya 20 zinamwaga less humu jamii forum, huyo rafiki yako namuongeza kwenye list ikiwezekana na wewe kwa kumuona mtu kama huyo kua wife material. Ati wanalazimisha, kulazimisha wapi sema binti hataki kumuachia msela, kulazimisha wewe binti hakutaki ati unamlilia anarudi hapo ni binti tu kaamua kubaki na ujinga ni wake mwenyewe, aende huko akagegedwe tuone kama ataridhika, ndio maana siku hizi kila nyumba kumi kuna talaka