Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
mwambie afanye kile ambacho moyo wake unapenda coz kama ataamua kufunga naye ndoa ni yeye atakayeishi na huyo mwanaume so she need to take time and think critically
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaha,ushauri ni kumuacha tu uyo jamaa,sijui mengi sana,bt najua adha ya mwanaume asieyeelewa mwanamke anataka nin kitandani,ni kerooo,esp wale wanaopenda kuvamia K bila maandalizi yoyote
ana miaka 26.... according to yeye afikishwi compare na wapenzi wake wawili wa nyuma .... anajitahidi kutokufanya comparison inashindikana,............ yani anjikuta anamfundisha jamaaa hadi sehemu gani yakushika lakinii jamaa aelewi mbishi .....[/QUOT
Ukicompare wapenzi umepotea maana hata siku moja hawawezi kufanana wanavyofanya kitandani, kama yeye anaona ndoa ni mapenzi kitandani tu basi akawatafute hao wawili waliopata kumridhisha wamuoe,na kama walimtosa basi na yeye huenda ana mapungufu otherwise akifikisha 30 bila kuolewa ndo atakuja kujua nyau siyo mboga atahaha kumpata yeyote asimpate.
Huyo shoga yako naye mdaku, mtu hamfikishi miaka yote alikuwa hajui? Ndiyo anajua leo? Siamini kama hiyo ndiyo sababu, mimi mwezi moja tuu, huwezi nakupotezea usinipake shombo!
ayaa nitamwambia.........miss chagga ni ngumu kuamini kwa watu waliokaa kwenye uhusiano kwa miaka mi 5 eti leo ndio hayo yamshnde.. Sababu ya ung'ang'aniz haina mashko kwa mapenz ya miaka mi 5 labda akupe nyngne...bestiyo anaonekana ni ngono addict wakati mwenzie haoni kama ni kitu cha kuendekeza... Shostito wako hapo pashamshnda akusanye virago vyake achape lapa.
ana miaka 26.... according to yeye afikishwi compare na wapenzi wake wawili wa nyuma .... anajitahidi kutokufanya comparison inashindikana,............ yani anjikuta anamfundisha jamaaa hadi sehemu gani yakushika lakinii jamaa aelewi mbishi .....[/QUOT
Ukicompare wapenzi umepotea maana hata siku moja hawawezi kufanana wanavyofanya kitandani, kama yeye anaona ndoa ni mapenzi kitandani tu basi akawatafute hao wawili waliopata kumridhisha wamuoe,na kama walimtosa basi na yeye huenda ana mapungufu otherwise akifikisha 30 bila kuolewa ndo atakuja kujua nyau siyo mboga atahaha kumpata yeyote asimpate.
yeye ndo anamaamuzi
afu hela yenyewe hana....angekuwa anahela kiukweli ningeshauri kitu kingine jamani...
maswala ya long distance relation hayo ............ sasa rafiki yangua alijua atabadilika ah wapi tena siku zinavyozidi kwenda ndo inavyokuwa worse...... jamaa anataka ndoa tu nw
miss chagga tatizo ni hilo tu hakuna kingine zingine zote ni kelele tu
kugegedana sipendi pesa muhimu loh!!!!!!!!!!! kwa hilo nahisi sijapotea nitajenga uchumi
no no no jamani watu8 nikisema napenda pesa si maanishi nategemea mwanaume anipe pesa......... namaanisha mda wa kuzungushana na mwanaume bora nifanye kazi mda huo.......... na pia kama mwanaume akija kwangu lazima nimpe ukweli kuwa me kugegedana sipendi ila kama anapesa tufanye maisha na si kuweka mbele kugegedana......Hahaha!!! hivi una umri gani kwanza? maana nahisi kama nashuhudia maajabu ya nane ya dunia.
Sasa kama hupendi kugegedana, na wakati huo huo wapenda pesa...kwa nini usitafute hiyo pesa kwa kufanya kazi, biashara?
Huoni kama kutegemea mwanaume/wanaume kupata hiyo pesa ni kama umalaya(sorry kwa matumizi ya neno hili) fulani?
jamani mjamaa afanyi kazi vizuri ..............