Jamani mapenzi yanaumiza kichwa

Dj Ramso

New Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Nina mpenz wang ambae anaitwa happy ninataka nimfanyie surprise ila nashndwa nimfanyie surprise gani! Nisaidieni kwa hilo jamani
 
Siku zote mwanaume ambaye hayajali mapenzi ndio huwa anapata mapenzi safi ila we ambaye unahangaika umfurahishe dem utaishia kuumia tu bro
 
unaplan mno, raha ya mapenzi ni kwenda na flow. Acha kuishi kitamthilia then utafurahia, hii kutamani um-suprise afu hujui um-suprise na kitu gani inaonesha hujazoea maisha ya aina hii.

Unamwangalia nani? Wema na Diamond?
 
Mnunulie moyo wako, serve in a bed of fresh lettuce. Naweza kuja kukusaidia presentation.
 
... Kwa mtaji huu get ready for a real counter-surprise. God bless you.
 
surprise!!!?????.........vua nguo hadharani kumthibitishia unampenda...this is the biggest surprise
 
Mnunulie nyumba kwa mtazamo wangu
 
Nina mpenz wang ambae anaitwa happy ninataka nimfanyie surprise ila nashndwa nimfanyie surprise gani! Nisaidieni kwa hilo jamani
kwani uwa anapenda nini? Ukishajua hilo ni rahisi sana.
 
Weee mpende kila siku.. Hakuna cha surprise wala nini... Akizoea surprise usipo msurprise inakuwa tabu tena.. Ooh, mpz siku hizi hunipendi hunisapraizi!
 
Suprise tuu. Mtoe out halafu umwambie una mpnz mwingine..
 
unaplan mno, raha ya mapenzi ni kwenda na flow. Acha kuishi kitamthilia then utafurahia, hii kutamani um-suprise afu hujui um-suprise na kitu gani inaonesha hujazoea maisha ya aina hii.

Unamwangalia nani? Wema na Diamond?

Hapo sasa............Mimi samtaim huwa naitwa mshamba na rafiki zangu, whats sapraiz bwana ishi uwezavyo. ehee Kongosho kuna uzi wangu wa sharobaro style sijaona maoni yako nateseka miye nenda MMU
 
Last edited by a moderator:
ishi nae maisha kawaida ukimzoesha izo suplize izo siku ukikosa atakukimbia
 
Suprise mara moja moja zinanogesha penzi,andaa picnic sehemu tulivu umpeleke kwa siku ama mnunuli wine,chokolate na maua af na kadi yenye maneno mazuuri then mpe mtu ampelekee oficn kwake ama chuo ama home i'm sure atafurahi.Ila usimzoeshe,suprise hazipendezi kila siku atazoea.Goodluck
 
Kama bado hujamuingage ndo wakati mzuri wa surprise, mtoe out, then unaweka pete kwenye glac yake ya kinywaji, be'care acje akaimeza, hapo atafurahi.
 
Nina mpenz wang ambae anaitwa happy ninataka nimfanyie surprise ila nashndwa nimfanyie surprise gani! Nisaidieni kwa hilo jamani
Sasa hili ndo lakukumiza kichwa mkuu..au huna PESA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…