Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani uwa anapenda nini? Ukishajua hilo ni rahisi sana.Nina mpenz wang ambae anaitwa happy ninataka nimfanyie surprise ila nashndwa nimfanyie surprise gani! Nisaidieni kwa hilo jamani
unaplan mno, raha ya mapenzi ni kwenda na flow. Acha kuishi kitamthilia then utafurahia, hii kutamani um-suprise afu hujui um-suprise na kitu gani inaonesha hujazoea maisha ya aina hii.
Unamwangalia nani? Wema na Diamond?
Mnunulie moyo wako, serve in a bed of fresh lettuce. Naweza kuja kukusaidia presentation.
Sasa hili ndo lakukumiza kichwa mkuu..au huna PESA?Nina mpenz wang ambae anaitwa happy ninataka nimfanyie surprise ila nashndwa nimfanyie surprise gani! Nisaidieni kwa hilo jamani