Jamani mapenzi yatanimaliza nisaidieni pls

Ukisilalamike sana Mkuu tandika mimba, wazazi wake wakishtukia mtoto kavimba juu watamsindikiza wenyewe mpaka kwako. Wakati huo na wewe unajifanya kama una nyodo vile!
 
Sasa wewe Butifulu Ledi unadhani BJ kakosea?Whether you accept or not,walokole ndio ivo walivo japokua sio wote...wana dharau binadamu wengine wooote ambao hajaokoka,superiority complex ndio tatizo lao....bure kabisa....

Mungu awasamehe maana hamjui mkiandikacho.
 
................hii ni kali ................................
 
Hayo ndo madhara ya kukugombana kutamkiana maneno ya ajabu kwa wapenzi ambao hawajagombana muda mrefu SASA MWENZIO ANATAFAKARI JIBU LA "POA" ULILOMJIBU ANYWAY TOKA NAE OUT ILI UMPOTEZE NA MAWAZO YA WOGA ONGEA NAE KWA MANENO MAZURI ILI MOYO ULIKAVE
 
Duh? Serious? Yaani kama Pinda? Basi, na wewe kubali Liwalo na Liwe. Au hujasikia msemo "Jino kwa Jino"? Sasa nakushauri hivi, usijali kitakachotokea, na t be specific bora ukaanza uhusiano mpya kuliko kurekebisha uhusiano unaokufa. Remember: When Love Dies, Life Continues!
 
Kupenda lazima uwe una uhakika unapo penda hakuna kasoro.
 

Mpende katika daraja ile ile anayokupenda wewe. Mpende kwa kumtumia mesji ndogo kama hai, Mambo, na endelea kupunguza mawasiliano nae. Lazima tuwe waangalifu katika kuwafanzia wapenzi wetu vile wanavyovipenda nao watatupenda.
 
mkuu kwani kuokoka ni kufa?? au ni jambo zuri tu kuwa karibu na Mungu?? au wewe unampenda shetani zaidi?? basi nenda kuzimu katafute mke...
 
 
Last edited by a moderator:
everythn happens 4 a reason........wazazi watakua hawakutaki thtz y,, hata cku wakikubali umuoe mwanao watakupangia mahari ambayo utabaki mdomo wazi..,pole ma dia hata hivyo kupitia hizo changamoto upendo wa dhati utajidhihilisha.
 
kabla cjakushauri hebu nambie ukweli huyo demu ni mzuri au baya?? Usiniambie ni wa kawaida.
 
Tatizo unaremba sana, The Boss kamaliza kila kitu fuatilia ushauri wake, kula tunda weka embryo ndani ya uterus halafu tuone kama hao wazazi watazuia.

Ukifanya hivyo vita itageuka na kuwa kati ya wazazi na Msichana mwenyewe maana atakuwa amekwisha jua utamu wako ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…