kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,965
Anamaanisha hivi, kuna uwezekano mkubwa sana wewe hauna makende (ambazo huzalisha hormone za kiume aina ya nyge) pia inawezekana wewe ni mwanaume tu kwa muonekano lakini kwa kijenetik wewe sio mwanaume. Kwa lugha ya kitaa wewe ni mwanaume suruali...Lugha ya malikia ni ugonjwa kwangu jalibu kutumia angalau lugha yetu ile ya chato kama kiswahili kwako ni shida
Wewe ni ke au meAnamaanisha hivi, kuna uwezekano mkubwa sana wewe hauna makende (ambazo huzalisha hormone za kiume aina ya nyge) pia inawezekana wewe ni mwanaume tu kwa muonekano lakini kwa kijenetik wewe sio mwanaume. Kwa lugha ya kitaa wewe ni mwanaume suruali...
Ndio mkuuKwahiyo hivyo ndo kutongozwa kumbe
kiswahili cha kisukumaHuo msamiati ni wa kiswahili au kingeleza
Huenda mkuu kwa maana fix balaaNadhani hapa ulipata certificate ya uongo ukaja JF kufanya field