Jamani mbona hunambii, niambie basii!!

Jamani mbona hunambii, niambie basii!!

Kwan we hujawah tongoza au kutongozwa!!!!!! Mbona hapo simpo2 yan kashajirahisisha af ww unazubaa shauryako utakabwa Na penati yako mkuu
 
Lugha ya malikia ni ugonjwa kwangu jalibu kutumia angalau lugha yetu ile ya chato kama kiswahili kwako ni shida
Anamaanisha hivi, kuna uwezekano mkubwa sana wewe hauna makende (ambazo huzalisha hormone za kiume aina ya nyge) pia inawezekana wewe ni mwanaume tu kwa muonekano lakini kwa kijenetik wewe sio mwanaume. Kwa lugha ya kitaa wewe ni mwanaume suruali...
 
Wewe ni ke au me
 
Kwan we hujawah tongoza au kutongozwa!!!!!! Mbona hapo simpo2 yan kashajirahisisha af ww unazubaa shauryako utakabwa Na penati yako mkuu
Kwahiyo hivyo ndo kutongozwa kumbe
 
nashauri umkaribishe kwako akija na jitahidi muwe peke yenu afu umuulize nkwambie nn sasa.lete majibu.yan mrejesho
Hayo ndo mambo sasa ngoja nimupigie cm saiv aje
 
Mwambie kwamba Daudi Bashite alipata Mzunguko matokeo ya kidato cha nne. NA PIA MWAMBIE KWAMBA NI POCBO MWAKA HUU WOTE HUYU ANAYEJIITA MAKONDA ANAWEZA AKAUTUMIA KWA KULIA NA KUGARAGARA KWENYE NYUMBA ZA IBADA.
Daud bashite
 
Back
Top Bottom