Jamani mbona maisha magumu?

Mbona mambo bado hayajawa magumu mkuu, yakiwa magumu utasemaje
 
Why usiachane nayo tu hayo maisha kwa nini unayang'ang'ania wakati unayaona yanazidi kuwa magumu.
 
MAGU katoa mkanda kiunoni,,sasaivi katupiga shingoni kabisa tufilie mbali,,,maana hii ishu ya vyeti feki mtaani watu wanatembea huku wanaongea peke yao, Ni hatari ,,,,vichaa wataongezeka
 
hii hali tutadumu nayo. mpaka 2025 ,tulio karibu nae tunaanza kufungasha mwezi wa saba. tunarudi mikoani
Hali hii mbona bado cha mtoto ikifika 2019 tutalegeza ili mtuchague tunawajua vizuri kwamba mna kale kaugonjwa ka kusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…