Jamani mbona maisha magumu?

fanya kazi mammae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (kiutani lakini)
 
Jamani mlie karibu na mtukufu mniulizie kama hali hii ina koma lini au kama haina ukomo nalo mnijulishe
Shukuru uzima upo, pumzi ni ya bure... huilipii,... ayo mengine ni ya dunia tu!
 
Kama maisha magumu achana nayo utafute mambo mengine ya kufanya, sio lazima kuhangaika na maisha wakati magumu!!!!!!
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…