Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 723
- Thread starter
- #61
Kwahiyo tunajengea wengine?Tunajenga nchi, hiki kizazi lazima kifanye kazi kana manufaa ya kizazi kijacho namaanisha wajukuu.. Usitegemee utakuwepo mwisho wa hii hali..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tunajengea wengine?Tunajenga nchi, hiki kizazi lazima kifanye kazi kana manufaa ya kizazi kijacho namaanisha wajukuu.. Usitegemee utakuwepo mwisho wa hii hali..
hapo sawaBasi utakula prons na crubs
mimi hizi mboga nimezikuta mjini lakini kila matembele nayala mara kwa mara .. kisamvu jumapili na utumbo na ugali jaribu uone unaweza maliza ugali wa watu watatu
unipe mrejesho usisahahu naziSawa ntajaribu wangu,
Basi sawa...tutakuandalia na kimojawapo kati ya hivi.hapo sawa
unipe mrejesho usisahahu nazi
tutapaka majivukiukwel kk maixha ni mgm! asaiv wadada nawaona nao hawapaki makeup!!
hapana nataka vyoteBasi sawa...tutakuandalia na kimojawapo kati ya hivi.
chagua pls
Shukuru uzima upo, pumzi ni ya bure... huilipii,... ayo mengine ni ya dunia tu!Jamani mlie karibu na mtukufu mniulizie kama hali hii ina koma lini au kama haina ukomo nalo mnijulishe
wahiyo wataka "bara na visiwani" kwa pamoja?hapana nataka vyote
nataka vyakula vyotewahiyo wataka "bara na visiwani" kwa pamoja?
basi utapata , "wewe cha msingi jiandae tu kupokea vyakula vote".nataka vyakula vyote
sawa mkuubasi utapata , "wewe cha msingi jiandae tu kupokea vyakula vote".
vya bara na visiwani.
Karibu mkuu, si unajua mchana huu ndo muda mwafaka kupata kitu dongo dagaa mchelesawa mkuu