Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
-
- #21
Labda Maisha ndivyo yalivyowatengeneza kuwa hivyoMimi nashindwa kuelewa watu wana roho za namna gani?
Wana moyo kama wetu kweli?π€
Mimi kuhisi tu mtu anaumia kwa ajili yangu siwezi kua na amani
Hawa watu wanaweza jeπ€ππΌ
Nakosa cha kusema mimiLabda Maisha ndivyo yalivyowatengeneza kuwa hivyo
Najua tunapitia background tofauti,hizo ndiyo zitaamua Leo tuwe watu wa aina gani..
Wenye roho katili wapo.lakini inahuzunisha zaidi pale inapowaangukia watu kama hawa.
π’Aisee! Inasikitisha mno, mioyo ya watu imebadilika sana. π‘π‘π‘π
Aiseee ππΌHata wanyama hawafanyi kama hivi.
Labda ni chuki tuuπ€π€π€π
Au ni visasi vya watoto wa nje ya ndoa??π€π€π
Au ni mambo ya ushirikina??π€π€π
Angalau serikali ingekua inakuja na majibu ya kueleweka.
Tujilinde na kuwalinda tuwapendao mkuu.
Ni huzuni mkuusubiri nikuongeze na hili
Haipendezi hata kidogo, hizo tabia.Aiseee ππΌ
Nadhani tunyopitia maishani ndio yamechangia tuwe hivi.Tupo kwenye jamii iliyopoteza utu,mioyo imeota kutu.We ona hata Watu wanavyo comment kwenye taarifa tu ya Watu wamepata ajali Mtu anaandika "wafe kabisa".
Hatuko salama πHii dunia imekuaje π₯ΉπππΌ
Naogopa aisee