Jamani mchina kanambia ananipenda, ushauri wanajamvi...

Jamani mchina kanambia ananipenda, ushauri wanajamvi...

Rasib

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
395
Reaction score
45
Imepita takribani miezi mitatu huku tukichat kwa sms na kupigiana simu mara kwa mara tangu tufahamiane hatimaye kubadilishana namba za simu, amekuja Tanzania kama mfanyakazi(engineer) na yupo hapa kwa miezi tisa, baada ya hapo atakuwa amekamilisha project yake.. Juzi huyo mdada wa Kichina alikuja chuoni kunitembelea tuliongea vitu vingi sana, ila nilishangaa kunitamkia kuwa ananipenda na yuko serious..naombeni msaada nimkubalie?
 
chinese? mi 4 sure cjui ktk love wakoje, anaejua jaman msaidien huyu jamaa asije cheze konfuuu huko mbeleni.
 
She is a human being like all others so vigezo na masharti ya mahusiano yazingatiwe......makosa yatatozwa
 
Ukioa utulie, usije ukamamiss tena mawowo na figa za kibantu!
 
Hakikisha hamfanyii maudhi yoyote chumbani, vinginevyo tutakukuta kibogoyo baada ya meno yote kung'olewa kwa kungfu.
 
katika mapenzi utamaduni humata sana, je umeujua utamaduni wao na umeridhia? ushauri bora muulize utamaduni wao ktk suala zima la mapenzi....usikute kwao mme au mke kuwa na kidumu ni kosa la kunyongwa, bt sisi wabongo ni fasheneni tu...think in wide.
 
sasa hiyo miezi tisa ikiisha ndo unaamia BEIJING na weye au??
kama ni short term mbona poa tu si unajua kule kwao wanabanwa sana hawawezagi kula maraha ya mahaba kama huku uswzi kweu..beba mzigo mwisho wa siku na weye sepa
 
Good luck kaka, ila kua makini ukienda kwao, unaweza lishwa konokono,chura, nyoka au hata wewe wanaweza kukufanya mnofu,

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Angekuwa ni mdada wa kibongo amekwambia hivyo ungesema pia hapa JF?.,kwani mchina ana kasoro gani?
 
Imepita takribani miezi mitatu huku tukichat kwa sms na kupigiana simu mara kwa mara tangu tufahamiane hatimaye kubadilishana namba za simu, amekuja Tanzania kama mfanyakazi(engineer) na yupo hapa kwa miezi tisa, baada ya hapo atakuwa amekamilisha project yake.. Juzi huyo mdada wa Kichina alikuja chuoni kunitembelea tuliongea vitu vingi sana, ila nilishangaa kunitamkia kuwa ananipenda na yuko serious..naombeni msaada nimkubalie?

We sema umekuja kutujulisha kwamba una dem wa kung fuu,
acha mbwe mbwe dogo.
 
Wanawake wa kichina wanatupenda sana wanaume wa kiafrika kwa sababu tumejaliwa kuwa na maumbile makubwa ya sehemu zetu za siri ukilinganisha na wachina ila bado sijajua kwa nini wao wachina hawatumii dawa zao kuongeza maumbile yao.
 
Hapana bro! Ila nampenda jaman mcfanye nmchukie...coz dalil za mwanzo znaonyesha ananipenda mimi ila cjui anamalengo gani wadau
 
Back
Top Bottom