Rasib
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 395
- 45
Imepita takribani miezi mitatu huku tukichat kwa sms na kupigiana simu mara kwa mara tangu tufahamiane hatimaye kubadilishana namba za simu, amekuja Tanzania kama mfanyakazi(engineer) na yupo hapa kwa miezi tisa, baada ya hapo atakuwa amekamilisha project yake.. Juzi huyo mdada wa Kichina alikuja chuoni kunitembelea tuliongea vitu vingi sana, ila nilishangaa kunitamkia kuwa ananipenda na yuko serious..naombeni msaada nimkubalie?