Uamuzi ni wako, mbona wengine ulionao hukutuuliza kama uwakubalie au kwa vile ni mchina?
She is a human being like all others so vigezo na masharti ya mahusiano yazingatiwe......makosa yatatozwa
Imepita takribani miezi mitatu huku tukichat kwa sms na kupigiana simu mara kwa mara tangu tufahamiane hatimaye kubadilishana namba za simu, amekuja Tanzania kama mfanyakazi(engineer) na yupo hapa kwa miezi tisa, baada ya hapo atakuwa amekamilisha project yake.. Juzi huyo mdada wa Kichina alikuja chuoni kunitembelea tuliongea vitu vingi sana, ila nilishangaa kunitamkia kuwa ananipenda na yuko serious..naombeni msaada nimkubalie?