Jamani Mgeni Mie naanzaia wapi?

Jamani Mgeni Mie naanzaia wapi?

Unaanzia hapahapa...kwengine utaingia mwenyewe. Karibu kwenye familia yetu.
 
Ulipoanzia ndo hapo hapo.Sahihi sana, yaani sawa kabisa. Karibu.
 
Karibu sana,ila jua ukileta uzi pumba ujue imekula kwako,kuwa mvumilivu kuna watu wapo makini balaa humu! Karibu sana
 
Karibu sana,ila jua ukileta uzi pumba ujue imekula kwako,kuwa mvumilivu kuna watu wapo makini balaa humu! Karibu sana

Poa sana, si unajua mie mzee wa kudadavua mtandaoni? Unaweza kuta nina uzoefu kuliko wewe maana una post moja ha ha ha ha ha .
 
Back
Top Bottom