jamani mi mgeni, hodini!

jamani mi mgeni, hodini!

Gussi

Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
16
Reaction score
2
Najua huku mna taratibu zenu na mimi kama mgeni naomba ukaribisho wenu ili nifarijike kwamba nimewakuta wenyeji, unajua mtu mgeni anaweza akakosea jambo kutokana na ugeni wake pls nielekezeni, jf juu.
 
usihofu karibu sana zaidi pitia thread za maonyo na maelekezo ili kujua mengi kuhusu JF.vinginevyo ukiharibu utakula ban
 
Najua huku mna taratibu zenu na mimi kama mgeni naomba ukaribisho wenu ili nifarijike kwamba nimewakuta wenyeji, unajua mtu mgeni anaweza akakosea jambo kutokana na ugeni wake pls nielekezeni, jf juu.

juu zaidi,

usiogope mkuu, unapoishia mpaka wako ndipo uanzapo wa jirani, taratibu zipo kutambua mipaka hamna la zaidi.

Karibu jukwaa la siasa, salam yako inanipa imani inawezekana tupo chama moja.
 
Back
Top Bottom