Jamani nisaidie mwenye ndugu filipino aniunganishe nae niende kikamtafute coco, nime google contact zk zote zilizokuja ni fake, hayuko fb wala twitter nimeelezwa na media moja inaitwa ABC CBN, ntafanyaje mpka nimuone jamani, nisaidieni wana jamii
hata mie nampenda sana huy mkaka
nampenda sna yani
Jamani mi nimefall kwa huyu actor wa filipino Coco martin, nampenda mpka namwota kila siku , natamani hata kumwona live siku moja
i'll keep dreaming as i hope one day ntamwona, afu he is single kama mimi, i blv in this saying dreams come true, coco is the love of my life
Oooh pole,hez 32 na ana family yake usikaone kafupi...mambo yake marefuuuu
Magonjwa ya akili siku Hizi yameongezeka sana!!
hana family, hana mke wala mtoto, he is still single, na hana mpango wa kuoa leo wala kesho,, he is waiting for me,,
Jamani mi nimefall kwa huyu actor wa filipino Coco martin, nampenda mpka namwota kila siku , natamani hata kumwona live siku moja
Kuna mtu aliwahi nieleza nafanana nae, lakini nilimkatalia.