Jamani nisaidie mwenye ndugu filipino aniunganishe nae niende kikamtafute coco, nime google contact zk zote zilizokuja ni fake, hayuko fb wala twitter nimeelezwa na media moja inaitwa ABC CBN, ntafanyaje mpka nimuone jamani, nisaidieni wana jamii
Nenda fb mu add John Lyoid Cruz then muombe contacts za coco Martin utampata.....anaishi Corazon City