Jamani mi nimefall kwa huyu actor wa filipino Coco martin, nampenda mpka namwota kila siku , natamani hata kumwona live siku moja
mie nampenda huyu,alikuwa kwenye ile tamthiliya ya marichui
.
Am here
.
My family was lost during the typhon, so am alone now
.
Contact me at +9436508996
.
Nilikuwa nimekasirika na mambo fulana commenti hii imenifanya nisahau kidogo! Umetisha mwenye mafuriko tena?
Halooooo!!!!! Hizo ndoto ungewekeza kwa kijana alie karibu ma ww sa ivi ungekuwa unaota honeymoon yako utafanya hotel gani...
.
Kweli ase mie ngoja nijianzie hapa hapa orientation kwa tinna cute
Asante,,, orientation inaanza lini mwenzio ki inglish sijui.....
Utampataje sasa wiliam Levy??