Jamani mi nampenda huyu actor

Jamani mi nampenda huyu actor

Jamani mi nimefall kwa huyu actor wa filipino Coco martin, nampenda mpka namwota kila siku , natamani hata kumwona live siku moja

.
Am here
.
My family was lost during the typhon, so am alone now
.
Contact me at +9436508996
.
 
Mimi ni mtoto wa anko wng,nitafute nitakupa ramani mpaka ya nyumbani kwetu ufilipino.
 
mie nampenda huyu,alikuwa kwenye ile tamthiliya ya marichui
 

Attachments

  • index.jpg
    index.jpg
    5.2 KB · Views: 172
  • 600full-william-levy.jpg
    600full-william-levy.jpg
    19.7 KB · Views: 180
Mimi ninampenda sana Irene Paul, yule mdada anayeigiza filamu za Bongo, inaonekana she's so smart ktk mambo yake!
 
si uendee hukohuko ufilipino?...atakuelewa!!
 
.
Am here
.
My family was lost during the typhon, so am alone now
.
Contact me at +9436508996
.

Nilikuwa nimekasirika na mambo fulana commenti hii imenifanya nisahau kidogo! Umetisha mwenye mafuriko tena?
 
Mi nilivyokua mdogo nilikua nampenda sunil shet nikimuona tu nasema huyu atanioa nikiwaa mkubwa, siku hizi walaa sasa hata ukiwawaza hao mahandsome wa kwenye video sijui utawapataje ni kupoteza mudaa
 
Back
Top Bottom