Usijali nina Maaduwi wengi lakini siwaogopi ninamuogopa mmoja tu Mwenyeezi Mungu Ukimuogopa yeye Mwenyeezi Mungu kila kitu kitakuogopa Watashindwa Tu Maaduwi zangu kwa Uwezo wake Mwenyeezi Mungu OKW BOBAN SUNZU mimi ndio MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.isije kuwa ni act za kumchafua MziziMkavu,just curious
Amenishangaza haya mambo ya usalama wa Taifa yanatoka wapi!! kwanza kwa Ethics zao si sawa kujitangaza.I hope alikuwa anatania
labda alikua anatania aiseee... sijawahi sikia usalama wa taifa wanaropoka ivo...
Usijali nina Maaduwi wengi lakini siwaogopi ninamuogopa mmoja tu Mwenyeezi Mungu Ukimuogopa yeye Mwenyeezi Mungu kila kitu kitakuogopa Watashindwa Tu Maaduwi zangu kwa Uwezo wake Mwenyeezi Mungu OKW BOBAN SUNZU mimi ndio MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
Hahahahah huyu mpumbe pumbe. SANGARA anajidai kunitishia kwenda Polisi na mimi ninajifanya Usalama wa Taifa nione atasema kitu gani?:bounce: Mkuu nameless girllabda alikua anatania aiseee... sijawahi sikia usalama wa taifa wanaropoka ivo...
yaani anaua halafu watu mnampa pole.............dada bora ungekufa tu.......huwezi kuua kisicho na hatia wala kujitetea na wakati miguu umechanua mwenyewe
isije kuwa ni act za kumchafua MziziMkavu,just curious
Ahsanteni wapendwa wote kwa ushauri na faraja mliyonipa,nashukurun sana
ohooooops pole sana kukucd usiwaze mungu akupe nguvu siku nyingine uwe makini mamiiPoor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
what did you want ?Where is the point?
Emmadogo siyo lazima uandike kitu kama huna cha kuandka ukae kimya,unauhakika nimefanya hicho kitu kwa makusudi?nilikua namuhtaj huyo mtoto sana kuliko wakat wowote wa maisha yangu,just zip ur mouth na siyo kila ki2 lazma uchangie
what did you want ?
Usijali nina Maaduwi wengi lakini siwaogopi ninamuogopa mmoja tu Mwenyeezi Mungu Ukimuogopa yeye Mwenyeezi Mungu kila kitu kitakuogopa Watashindwa Tu Maaduwi zangu kwa Uwezo wake Mwenyeezi Mungu OKW BOBAN SUNZU mimi ndio MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
Pole sana dada kukucd. Mungu akupe kitulizo ndani ya moyo wako, usijilaumu sana kwa kuwa hukujua madhara yake cha msingi ni kuwa tu makini unapokuwa na hali ya ujauzito kila kinachoingia tumboni mwako hata chakula ni vizuri kupata ushauri. Kwa mfano kama utakuwa wanga sana wakati wa mimba likelihood ya mtoto kuwa mkubwa ni kubwa sana pia atakosha virutuisho vya aina nyingine ya chakula. Ndiyo maana nakumbuka mke wangu alipokuwa mjamzito mtoto wa kwanza tulienda kijijini na mama yangu alimpa darasa kubwa sana kuhusu kula vitu kama pilipili na pia kuepuka vyakula vya acid nyingi, pia kuhusi kubebea vitu kama khanga, nyembe, na viguo kwa siri hata mume asijue. Yote haya ni mafunzo tu na mengine mengi. Again, pole sana. Kuna post hapo juu nilikuwa nimesema uje utupe update kumbe tayari hali si njema, sikuwa nimeona post yako hii. Wote wanaotoa msaada hapa hasa natural remedies ambazo tunazihitaji sasa kwa sasa kwa sababu ya Life Styles wanafanya kwa njia njema tu sidhani kama wanamaanisha any harm to users. Sisi watumiaji ni lazima tuwe makini hasa kuwasiliana privately na mleta mada ili kupata undani wa matumizi kwa mfano kama mtu una magonjwa kama BP, vidonda vya tumbo, kisukari, HIV, Circe cell, pumu, na mengine ni lazima upate ushauri. Wajawazito na wanaonyonyesha wanatakiwa kuwa makini pia.Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.