Jamani mimba yangu, msaada

Jamani mimba yangu, msaada

Status
Not open for further replies.
pole ndugu kama hujaenda kwa hosptal fanya uwahi ndugu
 
pinda+wapigeni+tu.jpg

Where is the point?
 
Usijali nina Maaduwi wengi lakini siwaogopi ninamuogopa mmoja tu Mwenyeezi Mungu Ukimuogopa yeye Mwenyeezi Mungu kila kitu kitakuogopa Watashindwa Tu Maaduwi zangu kwa Uwezo wake Mwenyeezi Mungu OKW BOBAN SUNZU mimi ndio MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.

Nakuaminia babu nimekua nkifuata unachokisema na tiba/ushauri wako umesaidia kumponya my dady!! Go to hell haters tuachieni mzizimkavu wetu
 
yaani anaua halafu watu mnampa pole.............dada bora ungekufa tu.......huwezi kuua kisicho na hatia wala kujitetea na wakati miguu umechanua mwenyewe
 
yaani anaua halafu watu mnampa pole.............dada bora ungekufa tu.......huwezi kuua kisicho na hatia wala kujitetea na wakati miguu umechanua mwenyewe

Emmadogo siyo lazima uandike kitu kama huna cha kuandka ukae kimya,unauhakika nimefanya hicho kitu kwa makusudi?nilikua namuhtaj huyo mtoto sana kuliko wakat wowote wa maisha yangu,just zip ur mouth na siyo kila ki2 lazma uchangie
 
Last edited by a moderator:
isije kuwa ni act za kumchafua MziziMkavu,just curious

siwezi nikatunga stori mbaya hvi ambyo inaweza kuleta madhara kwangu mwenyewe kwaajil ya kumchafua mtu.sikuzote maneno yanaumba,siwezi kujitamkia vitu vibaya kwaajili ya kumchafua yoyote,nimeongea kilichotokea and by that time sikujua inaweza ikawa shida kubwa kiasi hichi ndo mana nikapost hapa badala ya kwenda hospital,nashukuru wapendwa walonishauri kuwah hospitali,
 
Ahsanteni wapendwa wote kwa ushauri na faraja mliyonipa,nashukurun sana
 
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
ohooooops pole sana kukucd usiwaze mungu akupe nguvu siku nyingine uwe makini mamii
 
Last edited by a moderator:
kukucd pumzika dada usipoteze nguvu zako kujibizana na watu hapa wapotezee tu, Mwenyezi Mungu atakujalia ujazito mwingine kabla ya mwisho wa mwaka, pole sana.

Emmadogo siyo lazima uandike kitu kama huna cha kuandka ukae kimya,unauhakika nimefanya hicho kitu kwa makusudi?nilikua namuhtaj huyo mtoto sana kuliko wakat wowote wa maisha yangu,just zip ur mouth na siyo kila ki2 lazma uchangie
 
Last edited by a moderator:
Usijali nina Maaduwi wengi lakini siwaogopi ninamuogopa mmoja tu Mwenyeezi Mungu Ukimuogopa yeye Mwenyeezi Mungu kila kitu kitakuogopa Watashindwa Tu Maaduwi zangu kwa Uwezo wake Mwenyeezi Mungu OKW BOBAN SUNZU mimi ndio MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.

Aaaaaw wapi, wanajifanya maadui au ni wivu tu. Huduma zote unazotoa hapa kwa nini wao wasitumie muda kutupatia? Wengi wameponea hapa hapa kwa jukwaa la JF Doctor kwa ushauri na remedies zako. Binafsi nilikuwa na kitambi haswa lakini kupitia kwako niliamka kiafya na niko fit sana kwa remedies tu za hapa. Wengi pia wakiwa na tatizo la afya wanakuita ulipo uje tena nanukuu "MziziMkavu njoo huku utoe msaada". Kuna dada yangu pia aliuguliwa na mtoto shingo ilikakamaa na ulimpa ushauri achome maganda ya kitunguu swaumu amfukize alifanya na mtoto alipona, sasa hapo niseme nini? Leo hii mimi nikiamka alfajiri nakamata punje mbili za kitunguu swaumu na kabla ya kulala pia. Najiona mambo mengi niko sawa. Cha msingi kila mtu hapa by assumption ni 18+ hivyo una maamuzi ya kuhusu ushauri wowote hapa JF na ready to deal with consequences!!! Hawajalazimishwa.

Huyo dada nina imani ni mzima na mimba yake. Tutashukuru akija kutupa update.
 
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
Pole sana dada kukucd. Mungu akupe kitulizo ndani ya moyo wako, usijilaumu sana kwa kuwa hukujua madhara yake cha msingi ni kuwa tu makini unapokuwa na hali ya ujauzito kila kinachoingia tumboni mwako hata chakula ni vizuri kupata ushauri. Kwa mfano kama utakuwa wanga sana wakati wa mimba likelihood ya mtoto kuwa mkubwa ni kubwa sana pia atakosha virutuisho vya aina nyingine ya chakula. Ndiyo maana nakumbuka mke wangu alipokuwa mjamzito mtoto wa kwanza tulienda kijijini na mama yangu alimpa darasa kubwa sana kuhusu kula vitu kama pilipili na pia kuepuka vyakula vya acid nyingi, pia kuhusi kubebea vitu kama khanga, nyembe, na viguo kwa siri hata mume asijue. Yote haya ni mafunzo tu na mengine mengi. Again, pole sana. Kuna post hapo juu nilikuwa nimesema uje utupe update kumbe tayari hali si njema, sikuwa nimeona post yako hii. Wote wanaotoa msaada hapa hasa natural remedies ambazo tunazihitaji sasa kwa sasa kwa sababu ya Life Styles wanafanya kwa njia njema tu sidhani kama wanamaanisha any harm to users. Sisi watumiaji ni lazima tuwe makini hasa kuwasiliana privately na mleta mada ili kupata undani wa matumizi kwa mfano kama mtu una magonjwa kama BP, vidonda vya tumbo, kisukari, HIV, Circe cell, pumu, na mengine ni lazima upate ushauri. Wajawazito na wanaonyonyesha wanatakiwa kuwa makini pia.
 
Pole mamii wahi hosptl,it myt be miscarriage coz kitunguu swaumu kikal sn,and ninachokumbuka kwenye uzi wa MziziMkavu alisema kwa wajawazito usinywe bali upake sehemu zilizoathirika na fungus..pole sn.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom