Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kila raia anavutia kwake!
Docta anaduty of care kwa anaowahudumia!
Kwa hapa Jf, watu wanamuamini sana Dr MziziMkavu (hata mimi namuamini) heshima hiyo inaweza kumletea matatizo MziziMkavu ikiwa hatokuwa makini ktk utowaji wake wa ushauri!
Emubu angalia!
1 Mleta mada amemuamini MziziMkavu kiasi cha kutumia dawa bila kuuliza condition aliyonayo! (negligence)
2 MziziMkavu hakuweka angalizo kama wajawazito wasitumie! (lack of warning!)
3 Madhara!
Hapo hauwezi kumlaumu mmoja na kumuacha mwengine!
Wote wawili wanahusika!
Ila itambulike MziziMkavu aliweka dawa kirohosafi na kwa ajili ya kusaidia watu!
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
this is the best of all responses to my upumbavu so far.
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
Take it easy! Sote tunamapungufu!
Ni missed miscarriage!
Hali uliyokuwa nayo inaashiria kuwa mimba iko hatarini kutoka.
Unatakiwa kufanyiwa ultrasound ili kuona ujauzito uko kwenye hali gani.
Katika umri huo wa mimba njia ya msaada ni vidonge vya hormones za kuimarisha ujauzito.
Kitunguu swaumu ulichokula sio lazima kiwe sababu ya kubleed kwako. Inaweza kuwa ni coincidence tu.
Pole na kila la heri katika safari yako.
vidonge vipi vya hormone unavyozungumzia mkuu? ningependa kujua
Daah!pole sana dada mimi mwenyew nilitaka kutumia hivi vitunguu saumu kumbe havifai watu wenye low pressure, bahati nina dada yangu ni daktari nilimuuliza akaniambia usijaribu.Poor me!my baby is
gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu
zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio
limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
Dx. Abortion . Umefanya abortion acha kujisafisha. Tunakusubir hapa Muhimbili tukunyooshe.
asante sana dada yangu kwa karipio. mimi ni daktari na ninaheshimu na kuthamini sana kazi yangu. lengo la ile comment yangu ilikuwa kutaka kujua kama huyu bwana aliyetoa huu ushauri wa vidonge anaelewa kweli anachoandika. maana hawa ndio watu wanaoshauri wenzao humu,, na watu wanafata ushauri na kudhurika. profession imeingiliwa, na inauma sana kuona wakati wengine wanajenga wengine wanajitahidi kubomoa. medical field is too broad,, and unless one is an expert then they should forever keep their comments to themselves. and,, there is what we call ''medical-legal'' implications,, unaweza kufungwa kwa kutoa publicly information either ambayo si sahihi ama haijitoshelezi na wasomaji ama watumiaji wako wakapata madhara. watanzania ni watu wa ajabu sana,, wanapenda urahisi hata kwenye mambo yanayowahusu personally and directly. hospitali haziko mbali sana siku hizi,, everyone shoulg go there for proper evaluation and work-up. ni hayo tuUsirudie kule kule tulikotoka mkuu. Vidonge vya aina yoyote vinatakiwa kutolewa na mtaalamu wa afya na akiwa anamuona mgonjwa ama la ana vipimo vyake.
mjamzito, ama yeyote anaeumwa aende hospitali na ataelekezwa kila kitu
Jameni!
Hayo yanakujaje tena?
Mbona mnaanzisha ligi isiyo na tija?
Mwenye busara hurudi nyuma na kujificha!
Sisi wote ni wamoja!
Sometimes tukubali kushindwa!
:tea:
Pamoja sana!
Mzizimkavu hukupaswa kuandika haya. Hapa umekosea.Utaweza kumshitaki Polisi wa Usalama wa Taifa wewe ? haya nenda kokote kanishitaki mimi Mzizimkavu. Labda unishitaki hapa kwa Moderator sio kituo cha Polisi hawa polisi wa vituoni wanawajuwa Polisi wa Usalama wa Taifa ni akina nani nchini hapo? chezea Usalama wa Taifa utakwenda ndani bila ya kwenda Mahakamani.
Mzizimkavu hukupaswa kuandika haya. Hapa umekosea.
Mbaya zaidi kwenye thread ya mwenye majonzi na sio chitchat.