Jamani mimi kama Msukule ndio nimeingia leo. Mnanikaribishaje?

Jamani mimi kama Msukule ndio nimeingia leo. Mnanikaribishaje?

msukule mzembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
253
Reaction score
302
Mimi ni kijana wa hovyoooo mwenye uhovyo wangu hapa LILLE nchini FRANCE nikiwa nasomea urubani.

Ustarabu ni jadi yangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kutetema ndo raha yanguuu[emoji28][emoji28][emoji28]
pombe ndo maji yangu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
wizi ndo tabia yangu

mabibi na mabwana wote tuanze kwa kusema "MAMA AMINA[emoji28]"

AHSANTENI SANA
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
1651785191202.png
 
Back
Top Bottom