Jamani mimi mgeni humu ndani naomba mnikaribishe tuwe pamoja!!!

Karibu sana lugha nyingi ila jifunze kulingana unavyo weza

Karibu sana mrembo
 
Hooodi humu!!! Mimi pia ni MGENI ndo nimeingia Jana ila cjatozwa kiingilio wala kodi.Nawaombeni mwongozo wadau.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu naona unatumia fursa mubashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…