BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Karibu sana karibu mpaka ndani. Hapo pembeni kwenye hilo fridge kuna vitafunio mbali mbali chukua upendavyo na kinywaji upendacho. Jisikie uko nyumbani.
Nawapenda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapenda sana
Eeeh bwana niepuke kuandaa tangazo la kutafuta mwenza hapo baadaye[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu naona unatumia fursa mubashara
Asante BakiKaribu sana karibu mpaka ndani. Hapo pembeni kwenye hilo fridge kuna vitafunio mbali mbali chukua upendavyo na kinywaji upendacho. Jisikie uko nyumbani.
NdioKaribu nasikia wewe Mzee mwenzangu
Mbona picha ipo!!Weka picha
AsanteKaribu sana ndugu.
AsanteKaribu sana nakuomba uni pm tafadhari
Nawapenda sana
Keyboard haikuonyesha ushirikianoSawa japo unatupenda na tunakushukuru kwa hilo ila naomba kukuuliza je ulidhamiria kweli kujiita hivyo Miss Piece ( Miss Kipande ) au ulitaka kujiita Miss Peace ( Miss Amani ) na pengine Keyboard yako haikuweza kuonyesha ushirikiano wakati una type?
Keyboard haikuonyesha ushirikiano
Asante mkuuPole sana Mkuu na nililijua hilo na ndiyo maana nikakuuliza. Akhsante kwa kunionyesha ushirikiano wako Mkuu na alamsiki pia.
Kha we nawe mfukunyuku jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sawa japo unatupenda na tunakushukuru kwa hilo ila naomba kukuuliza je ulidhamiria kweli kujiita hivyo Miss Piece ( Miss Kipande ) au ulitaka kujiita Miss Peace ( Miss Amani ) na pengine Keyboard yako haikuweza kuonyesha ushirikiano wakati una type?
Nawapenda sana
Karibu bi shostito, upo mahali salama. Hapa jf ni zaidi ya darasa, nategemea kupata mapya kutoka kwako. Usiwe bubu, tulishirikishe unachokijua ili tuzidi kujifunza.Asante mkuu