Jamani mimi mgeni humu ndani naomba mnikaribishe tuwe pamoja!!!

Karibu sana karibu mpaka ndani. Hapo pembeni kwenye hilo fridge kuna vitafunio mbali mbali chukua upendavyo na kinywaji upendacho. Jisikie uko nyumbani.

Nawapenda sana
 
Ni marufuku kutumia "R" panapostahili "L" hali kadhalika vise versa. Kosa lake analijua faiza foxy
 
Karibu sana karibu mpaka ndani. Hapo pembeni kwenye hilo fridge kuna vitafunio mbali mbali chukua upendavyo na kinywaji upendacho. Jisikie uko nyumbani.
Asante Baki
 
Reactions: BAK
Nawapenda sana

Sawa japo unatupenda na tunakushukuru kwa hilo ila naomba kukuuliza je ulidhamiria kweli kujiita hivyo Miss Piece ( Miss Kipande ) au ulitaka kujiita Miss Peace ( Miss Amani ) na pengine Keyboard yako haikuweza kuonyesha ushirikiano wakati una type?
 
Keyboard haikuonyesha ushirikiano
 
Sawa japo unatupenda na tunakushukuru kwa hilo ila naomba kukuuliza je ulidhamiria kweli kujiita hivyo Miss Piece ( Miss Kipande ) au ulitaka kujiita Miss Peace ( Miss Amani ) na pengine Keyboard yako haikuweza kuonyesha ushirikiano wakati una type?
Kha we nawe mfukunyuku jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…