jamani mimi mwalimu natafuta kazi ya kufundisha

jamani mimi mwalimu natafuta kazi ya kufundisha

Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
3,406
Reaction score
2,521
Mwalimu masomo ya Arts ni Degree holder BAED GPA 3.4 UDSM .Nafundisha History,Civics na General studies.
Nimefundisha miaka miwili hila kwa sasa nataka kufundisha private schools.Mwenye kujua sehemu yenye huitaji wa mwalimu plz tuwasiliane 0783158709 nashukuru saana.MUNGU HAWABARIKI.
 
Back
Top Bottom