Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Pamoja na kuwa ni mpambanaji Ila Mimi ni mvivu. Ni mvivu kushusha net, hii kazi ya kushusha net naiona ngumu sana.
Kuhesabu hela, pia hapa Mimi ni mvivu. Naweza nikalipwa mzigo wa hela nikaubeba bila kuhesabu. Hivi ni Mimi tu mvivu kuhesabu hela au wengine mpo.?
kweli wewe ni zero
Mkuu, hiyo ni hulka ya baadhi ya watu... Sasa uende huko mjini kwenye maduka ya wahindi ununue dawa hii//Pamoja na kuwa ni mpambanaji Ila Mimi ni mvivu. Ni mvivu kushusha net, hii kazi ya kushusha net naiona ngumu sana.
Kuhesabu hela, pia hapa Mimi ni mvivu. Naweza nikalipwa mzigo wa hela nikaubeba bila kuhesabu. Hivi ni Mimi tu mvivu kuhesabu hela au wengine mpo.?
Mkuu vp ukienda malwaton huko ukimaliza piaa unaona uvivu wa kujifanyiaa cleaning?Mkuu, hiyo ni hulka ya baadhi ya watu... Sasa uende huko mjini kwenye maduka ya wahindi ununue dawa hii//
Ubani wa zaker ( utumie au ujifukize) utaondokewa na uvivu huo!!
indeed.....Mkuu vp ukienda malwaton huko ukimaliza piaa unaona uvivu wa kujifanyiaa cleaning?
Ovaaaa
Pamoja na kuwa ni mpambanaji Ila Mimi ni mvivu. Ni mvivu kushusha net, hii kazi ya kushusha net naiona ngumu sana.
Kuhesabu hela, pia hapa Mimi ni mvivu. Naweza nikalipwa mzigo wa hela nikaubeba bila kuhesabu. Hivi ni Mimi tu mvivu kuhesabu hela au wengine mpo.?
Hahhahhahaha my kaka hayo mengine endelea kuwa mvivu ila kwenye hela naomba uwe unaniita nikuhesabie,please usisahau.....au hata kuniita utaona uvivu ?