Jamani mimi ni mbovu

Jamani mimi ni mbovu

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Pamoja na kuwa ni mpambanaji Ila Mimi ni mvivu. Ni mvivu kushusha net, hii kazi ya kushusha net naiona ngumu sana.
Kuhesabu hela, pia hapa Mimi ni mvivu. Naweza nikalipwa mzigo wa hela nikaubeba bila kuhesabu. Hivi ni Mimi tu mvivu kuhesabu hela au wengine mpo.?
 
Wewe ni mvivu,
Ni mvivu kushusha chandarua.
Ni mvivu pia kuhesabu pesa.
Unajiuliza kwa kuhitimisha U-MVIVU PEKEE KATIKA KUHESABU FEDHA?
Kama sijaelewa mantiki ya hoja yako Mkuu.
 
Sawa zero..umenikumbusha katuni ya zero,sikutarajia kama kuna watu wana akili kama za zero katuni.
 
ww ni mvivu sanaaa inawezekana ukamfumania mkeo ukaona uvivu ukaondoka eneo la tukio bila kuuliza chochote
 
Pamoja na kuwa ni mpambanaji Ila Mimi ni mvivu. Ni mvivu kushusha net, hii kazi ya kushusha net naiona ngumu sana.
Kuhesabu hela, pia hapa Mimi ni mvivu. Naweza nikalipwa mzigo wa hela nikaubeba bila kuhesabu. Hivi ni Mimi tu mvivu kuhesabu hela au wengine mpo.?
Mkuu, hiyo ni hulka ya baadhi ya watu... Sasa uende huko mjini kwenye maduka ya wahindi ununue dawa hii//
Ubani wa zaker ( utumie au ujifukize) utaondokewa na uvivu huo!!
 
Mkuu vp ukienda malwaton huko ukimaliza piaa unaona uvivu wa kujifanyiaa cleaning?

Ovaaaa
 
Pamoja na kuwa ni mpambanaji Ila Mimi ni mvivu. Ni mvivu kushusha net, hii kazi ya kushusha net naiona ngumu sana.
Kuhesabu hela, pia hapa Mimi ni mvivu. Naweza nikalipwa mzigo wa hela nikaubeba bila kuhesabu. Hivi ni Mimi tu mvivu kuhesabu hela au wengine mpo.?

Hahhahhahaha my kaka hayo mengine endelea kuwa mvivu ila kwenye hela naomba uwe unaniita nikuhesabie,please usisahau.....au hata kuniita utaona uvivu ?
 
Usikode. Nitakuita. Ila kiukweli ninatabia ya kuchezewa kulala kwa uvivu wa kushusha net. Nitazuga mpaka wife atangulie ndo naenda kulala. Ajabu nikipiga mishe nikipata mkwanja nikipokea sihesabu. namwamini mtu tu.
 
Back
Top Bottom