Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Umeona eeeeeeeh!Aisee kumbe tuko wengi hii kitu bwana inakata stimu kabisa. Kama vipi ipigwe marufuku kabisa watu tuenjoy bhana
Tatizo kama langu!
Kweli mkuu!Ni kweli kwa wengi ni balaa
Ila mkuu kuliko kupata vile vijamaa bora tuu uvae
Ikiwa na mpenzi ambaye umepima kuna raha yake bana hupati shida kama hizo
Kwenye miiba unaingia bila wasi wasi
Kuhusu haya mafuta, sijui labda kuna ka ukweli!?Hili tatizo kusema ukweli linatukabili karibu wanaume wengi, kuvaa ile kitu labda raundi ya kwanza tu, raundi zingine kitu kinakataa kabisa nadhani yale mafuta nayo yanachangia kutuumiza.
Alafu wewe madenge mzee kifimbo cheza angekuwa yupo humu JF? mngekoma!khaah kwn lzm achen kupga puli ndo kunawafanya muwe hvyo pul c kavu kavu qwii qwii qwii
Kondomu unakuwa ugen!
tuache masikhara ya jf ukweli kinababa wengi tunalalamika kuhusu hili, ka vipi kuna spray unaweza kupulizia halafu ndo uvae kitendea kazi,inasaidia,maana kupiga mbizi bila helmet sooo.
Paw: Chondechonde usiruhusu wanawake kukanyaga kwenye thread hii,pliz.
Tausi! Tunza siri basi usiwambie mashost wengine,maana........poleeeeeeeee
muhimu viwango vizingatiwe
mto mada ni singo.c unamke psi za nn.. 2lia na wko