Jamani Mimi Ni Rijali, Tatizo Ni Kucheza Salama!

Jamani Mimi Ni Rijali, Tatizo Ni Kucheza Salama!

Nikikishavaa viatu vya PSI, nashindwa kabisa kucheza mpira kiasi ambacho wakinadada wa mtaani kwangu, wamenitangaza kuwa si riziki, wengine wanasema nimetegwa na mke wangu, basi na maneno kibao.
Ukweli ni kuwa siwezi kabisa kazi nikiwa na viatu hivi, yaani hata kama nina moto vipi, nikishaifungua PSI tu, ngoma inanywea yenyewe.

Lakini nikicheze bila viatu wee! unaweza kuhama chumba.



Habari ndio hiyo imetoka kwa best friend wangu muda si mrefu
Nimemshauri amfuate mwenzie la sivyo UK hautamwacha.

Weekend njema wapendwa.

Mkuu kama jamaa yako akivaa PSI anashindwa kucheza mechi basi asivae!Kwa nn ajipe shida za kuitwa si riziki? As long as anatafuta misifa kitaa mwambie aachane na PSI ila akiona nywele zinapukutika, fasta akimbilie kwa mama yake na aende pale Game mlimani city kuna mi pampas mizuri kweli kwa ajili yake! Na akiamua kucha kuvaa PSI mkewe amrudishe kwao mapemaaa!
 
Back
Top Bottom