Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikishavaa viatu vya PSI, nashindwa kabisa kucheza mpira kiasi ambacho wakinadada wa mtaani kwangu, wamenitangaza kuwa si riziki, wengine wanasema nimetegwa na mke wangu, basi na maneno kibao.
Ukweli ni kuwa siwezi kabisa kazi nikiwa na viatu hivi, yaani hata kama nina moto vipi, nikishaifungua PSI tu, ngoma inanywea yenyewe.
Lakini nikicheze bila viatu wee! unaweza kuhama chumba.
Habari ndio hiyo imetoka kwa best friend wangu muda si mrefu
Nimemshauri amfuate mwenzie la sivyo UK hautamwacha.
Weekend njema wapendwa.