Jamani Mimi Ni Rijali, Tatizo Ni Kucheza Salama!

Kutumia ile kitu ni basi. Stimu zinakatika. Ila kavu kavu inanoga lakini ukimwi noma.
 
Naunga mkono hoja, psi yafaa bao moja tena lile umetingwa hasa, ukilazimishia bao la pili utasugua weee mpaka psi ipasuke, na mbaya zaidi ikipasuka kautamu original kunakuja basi unakuta unaendelea mpaka unashusha bao, ni hatari sasa.
 
Aisee kumbe tuko wengi hii kitu bwana inakata stimu kabisa. Kama vipi ipigwe marufuku kabisa watu tuenjoy bhana

Huajakatazwa kucheza bila viatu,ila sasa utakapo kanyaga misumari ndio utatii akili.
 
PSI ni ishu kwa wote hivyo usijali.
S.E.X ni kitendo cha asili kinachohitaji uhalisi na uasili wake.
PSI ni barrier hivyo unaweza usipate ladha na unaweza ukajikuta stimu inakatika.
Inabidi ujizoeze kisaikolojia ili ubongo wako upokee kionjo kipya au kigeni.
Kumbuka practice makes perfect.
 
Du! umenikuna penyewe haswa! ukiwa ni mtoto wa kike unaeleza vitu asilia unaufahamu sana mama, nitonye bahati mbaya kashatangaza nia kwa sweetlady, ningemshawishi kw............

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…