Jamani Miss natafuta

Mkuu si unajua kama nipo .Jana Tu tulikuwa wote
Bna mods walikataa nisichangishe .huku wanajadili Sana privacy za watu
Kwanini wasichangishe wao kwa utaratibu wanao ufahamu... alafu wakupe wewe uweze kuwasilisha kunapotakiwa ili hizo sera za faragha zibakie kwao wakizilinda!

Mfano wanatoa namba wao ambayo utaitumia kushare ili watu wachangie na baada ya hapo wao ndio watakupa kilichopatikana kama vile GoFund nk
 
Kuna post watu wanapitia changamoto yaani ukimpa diaper pc 80 Ambazo ni elfu 20 ni kama umempa ghorofa yaani
Tushirikishane TafadhaliπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Nadhani tuwaombe waweke utaratibu rafiki .sio kwa hili Tu .mara moja moja kwa umoja wetu tunaweza kufanya kitu kugusa jamii.ujue hata Mimi sikupendakuchangisha sema wadau wengi walitaka kunipa hela.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mwambie atulie .hakunaga mwanaume WA mwanamke mmoja.kwanza akiwa mwenyewe atakuweza.naturaly wanawake hatuwezi kugegedana daily ila wanaume wanaweza.ndo maana Mungu mpango wake asili mwanaume awe na wake wengi.unashangaa siku hizi mwanaume mzima ana mahela kibao ana watoto wawili.tena WA kike
 
Nadhani tuwaombe waweke utaratibu rafiki .sio kwa hili Tu .mara moja moja kwa umoja wetu tunaweza kufanya kitu kugusa jamii.ujue hata Mimi sikupendakuchangisha sema wadau wengi walitaka kunipa hela.
Ni jambo jema wakianzisha jukwaa la kusaidia jamii

Wawe kama njia panda au sita sahau, wao watafanya tafiti kama hao watu wanafaa kusaidika na waweze kufanya kitu pamoja na kusimamia sera zao

Naona ni vyema kuelekea mwisho wa mwaka wakusanye mawazo ya wadau wao na kuyafanyia kazi kwa mwaka unao kuja

Wanaweza kuanzisha majukwaa ndani yake kama jukwaa la jamii check nk...

Hakuna kinachoshindikana ikizingatiwa JF ni NGO kama sijakosea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…