Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Yeyenitumie picha zako 🥺🥺🥺 mimi ? Au yeye.. Kama ni yeye hii hapaView attachment 3130734
hiyo haifai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeyenitumie picha zako 🥺🥺🥺 mimi ? Au yeye.. Kama ni yeye hii hapaView attachment 3130734
Ahaaa hivo hivo yaani huamini au??Kiwhat???? 😅😅😅😅😅
Sasa wangeamini ni ya muhusika sio yangu.Nakumbuka mkuu
Ule uzi ungeweka namba ya muhusika ingekuwa
OK hamna tatizo mtumishiSasa wangeamini ni ya muhusika sio yangu.
Siku moja nitakutafuta tukamcheki pale mloganzila baby wangu
Kwanini wasichangishe wao kwa utaratibu wanao ufahamu... alafu wakupe wewe uweze kuwasilisha kunapotakiwa ili hizo sera za faragha zibakie kwao wakizilinda!Mkuu si unajua kama nipo .Jana Tu tulikuwa wote
Bna mods walikataa nisichangishe .huku wanajadili Sana privacy za watu
Kuna post watu wanapitia changamoto yaani ukimpa diaper pc 80 Ambazo ni elfu 20 ni kama umempa ghorofa yaaniOK hamna tatizo mtumishi
Mimi namtafuta ephen_! Popote pale alipo ajisalimishe mwenyewe haraka kwenye kituo jirani cha polisi. Nitamkuta huko.
Mungu wangu🤣🤣🤣🤣Kasepa na Lucas Mwashambwa
Nadhani tuwaombe waweke utaratibu rafiki .sio kwa hili Tu .mara moja moja kwa umoja wetu tunaweza kufanya kitu kugusa jamii.ujue hata Mimi sikupendakuchangisha sema wadau wengi walitaka kunipa hela.Kwanini wasichangishe wao kwa utaratibu wanao ufahamu... alafu wakupe wewe uweze kuwasilisha kunapotakiwa ili hizo sera za faragha zibakie kwao wakizilinda!
Mfano wanatoa namba wao ambayo utaitumia kushare ili watu wachangie na baada ya hapo wao ndio watakupa kilichopatikana kama vile GoFund nk
Mwambie atulie .hakunaga mwanaume WA mwanamke mmoja.kwanza akiwa mwenyewe atakuweza.naturaly wanawake hatuwezi kugegedana daily ila wanaume wanaweza.ndo maana Mungu mpango wake asili mwanaume awe na wake wengi.unashangaa siku hizi mwanaume mzima ana mahela kibao ana watoto wawili.tena WA kike
Ebu njoo PM unigawie moja...😋Ahaaa Acha masihara mkuu me mwanamke kabisa Nina k mbili
Mimi ni usher wake sema siku hizi Niko kwa mwamposa Hadi nipate mume.mshana Hana miujiza ya mume.nimeoga chumvi Hadi nimebabukaHayo ndiyo yalikifanya ushindwe kuanzisha kanisa.
Ki,,mbo kipi kiarabu hapo😅😅😅😅Kiwhat???? 😅😅😅😅😅
Ni jambo jema wakianzisha jukwaa la kusaidia jamiiNadhani tuwaombe waweke utaratibu rafiki .sio kwa hili Tu .mara moja moja kwa umoja wetu tunaweza kufanya kitu kugusa jamii.ujue hata Mimi sikupendakuchangisha sema wadau wengi walitaka kunipa hela.