Jamani Miss natafuta

Hela napata.ila mapenzi chalii.nikigusa Tu upande huo napigwa na kitu kizito
Wamekufunga hiyo idara na walitumia vitu vitatu
Nywele (mvuto)
Nyayo (kufuatwa)
Nguo ya ndani (hisia)
Chumvi imezindua nyota bado hivyo vifungo vingine
 
Nimezimiss sana hizi ibada kusema ukweli. Hasa kile kipengele cha offerings πŸ˜‹
 
Mkuu una karama kubwa Sana ningependa siku moja hiyo karama yako uitumie katika "Kuwaumbia watu USHINDI "

Mungu aendelee kukupa uwezo kinywani mwako ili kila liliojema utakalotamka likapate kutimia.

Kumfanya MTU ambaye hakujui kuongezeka IMANI sio jambo DOGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…