Jamani mimi nilikuwa namtongoza dada mmoja mzuri sana,huko dar basi akawa ananizungusha sana,baada ya mwaka akanipa siku hiyo nilido hara sana ndipo tukaanza kuongea nae sasa mie nilijua kuwa atalala nami,nikajitayarisha kutoka nae mara namwona anachukua begi lake la mkononi,nikamwuliza vipi?akanijibu inabidi niwahi kurudi kwangu mie mke wa mtu.Aisee nilitaka kuzimia,nilisomea risala kali sana na nikamwambia huo ndio mwisho wa uhusiano wetu nikaita teksi nikamlipia arudi kwake basi nilikata mawasiliano nae kabisa alijaribu mara 3 kunipigia nikamwambia akijaribu tena ntamsema kwa mumewe.Mke wa mtu hapana kabisa