Jamani Fimbo mbaya ndio umekuja kunianika huku? sawa bwana ila sikuachi ng'oooo lol kehekeheheshima kwenu jf!naomba mnisaidie kujinasua kwani kwa juhudi zangu nimeshindwa.mwenzenu nimejikuta nikiangukia ktk mtego wa mapenzi na mke wa m2 baada ya vishawishi vyake vya mda mrefu, hata kufikia hatua ya kutaka kuondoka kwa mumewe kwa madai kuwa ana ujauzito ambao anadai mi nimehusika akidai nikaishi nae kwe2.jamani ushauri na uzoefu wenu utumike kunisaidia.
Du wanaume mnavyoumia wake zenu kuliwa, l wish mgeumia hivyo hivyo au at least nusu yake nyie (waume wa wake zenu) kuliwa na mabinti/ wanawake! Yaani dunia bila ngoma ingewezekana!
But nyie waume wa watu mnapenda kuibiwa, why??????
Mpigie simu mumewe umwambie kuwa mkewe si lolote na si chochote bali ni kicheche mtu.
Mpigie simu mumewe umwambie kuwa mkewe si lolote na si chochote bali ni kicheche mtu.
Badilisha kwanza jina lako..... "Fimbombaya"heshima kwenu jf!naomba mnisaidie kujinasua kwani kwa juhudi zangu nimeshindwa.mwenzenu nimejikuta nikiangukia ktk mtego wa mapenzi na mke wa m2 baada ya vishawishi vyake vya mda mrefu, hata kufikia hatua ya kutaka kuondoka kwa mumewe kwa madai kuwa ana ujauzito ambao anadai mi nimehusika akidai nikaishi nae kwe2.jamani ushauri na uzoefu wenu utumike kunisaidia.
Wewe jione mjanja kwa kumega wake za watu za mwizi 40 siku ukikamatwa na wewe utamegwa uone chungu yake.heshima kwenu jf!naomba mnisaidie kujinasua kwani kwa juhudi zangu nimeshindwa.mwenzenu nimejikuta nikiangukia ktk mtego wa mapenzi na mke wa m2 baada ya vishawishi vyake vya mda mrefu, hata kufikia hatua ya kutaka kuondoka kwa mumewe kwa madai kuwa ana ujauzito ambao anadai mi nimehusika akidai nikaishi nae kwe2.jamani ushauri na uzoefu wenu utumike kunisaidia.