Jamani mke wangu amejifungua muda tu. Hana tumbo kubwa lakini ile mikunjo ya tumbo inatokaje?

Jamani mke wangu amejifungua muda tu. Hana tumbo kubwa lakini ile mikunjo ya tumbo inatokaje?

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Alipojifungua alijitahidi kufunga mkanda wa kubana tumbo mpaka tumbo limekaa sawa. Sasa tatizo yale mamikunjo kunjo hivi wa dada aka wamama mnaitoaje ile?

Kuna kipindi alijaribu kupaka mafuta flani, holaa Mpaka sasa ipo tu mikunjo kunjo.
Ashajifungua mara mbili.

1621416722443.png

Alipojifungua alijitahidi kufunga mkanda wa kubana tumbo mpaka tumbo limekaa sawa.
Sasa tatizo yale mamikunjo kunjo hivi wa dada aka wamama mnaitoaje ile?
Kuna kipindi alijaribu kupaka mafuta flani, holaa
Mpaka sasa ipo tu mikunjo kunjo.
Ashajifunfua mara mbili.

Maji ya moto kuzingatia kukanda tumbo mpaka sehemu za siri ili kurudisha mishipa na misuli kwenye hali yake
 
Acha mambo ya kitotoo tafuta hela mkuuu achana na hizo biashar
Kwani anakufa akibakinayoo mkuuu
 
Alipojifungua alijitahidi kufunga mkanda wa kubana tumbo mpaka tumbo limekaa sawa. Sasa tatizo yale mamikunjo kunjo hivi wa dada aka wamama mnaitoaje ile?

Kuna kipindi alijaribu kupaka mafuta flani, holaa Mpaka sasa ipo tu mikunjo kunjo.
Ashajifunfua mara mbili.
Kama mikunjo haileti maumivu kwa mkeo achana nayo. Tafuta pesa
 
Maji ya moto kuzingatia kukanda tumbo mpaka sehemu za siri ili kurudisha mishipa na misuli kwenye hali yake
Hii mkuu hua inafanyika wiki kadhaa akishajifungua. Hasa hasa huko chini. Kwa tumboni sidhani kama wanakandwa.

Lakini sasa hivi ni zaidi ya mwaka tangu mtoto wa mwisho. Inabidi kukanda tumbo kweli??! I don't think so.
 
Binafsi huwa sipendi Kabisa kukutana kimwili na mwanamke mweye iyo mikunjo.

Inanitoa Kabisa KWENYE mood.

Kama Ni mkeo na bado unampenda sana,

Basi Mtafutie mikanda Kama hii[emoji116]View attachment 1637665
Mkuu hii mikanda alipomaliza kujifungua ndio alitumia ndio maama tumbo lake limerudi kama mwanzo. Shida ni mikunjo.
Hii mikanda haiondoi mikunjo. Ni kurudisha tumbo tu.
 
Amejifungua lini? Hiyo mikunjo huisha overtime maana tumbo lilitanuka haliwez kunywea ghafla. Kama ni normal delivery afanye mazoezi.
Mrs Van mtoto wa mwisho wa pili alijifungua mwaka mmoja uliopita na siku kama 15 hivi.

Yes normal delivery.
Mazoezi gani hayi eti? Na pia unamaanisha bila mazoezi over time mikunjo haitaondoka?
 
Mkuu pesa inatafutwa na mambo zingine zinaendelea. Na leo ni jumapili plus niko likizo. Au nilazimishe niende job leo. Au iweje!
Simaanishi hivyo,kama michirizi haileti maumivu kwa nini ikusumbue,ni suala la muda tu itapungua au kuisha kabisa.
Kufanya kazi sio kutafuta pesa.pesa zinatafutwa kwa kutumia pesa.
Asante
 
Haswaaaaaaaa. Asante kwa picha

Hongera kwa kupata watoto na kumjali mke wako aliyekubebea hao watoto mkuu

Hiyo mikunjo itaisha taratibu.... Kama unaona akivaa nguo hapendezi aendelee kutumia mikanda ile
Kama bado hajamaliza mmalize kabisa ili mnapoanza kushughulikia hilo tumbo iwe suluhu ya kudumu
 
Mazoezi ya kukaza tumbo maana hizo ni nyama zimetepeta tu. Akijitahid atakua normal. Alivyo ni kama mtu awe mnene sana akakonda kwa operation lazima manyama yatepete.
 
Hongera kwa kupata watoto na kumjali mke wako aliyekubebea hao watoto mkuu

Hiyo mikunjo itaisha taratibu.... Kama unaona akivaa nguo hapendezi aendelee kutumia mikanda ile
Kama bado hajamaliza mmalize kabisa ili mnapoanza kushughulikia hilo tumbo iwe suluhu ya kudumu
Thanks. Aaah mtu akishakuzalia watoto wawili heshima na upendo lazima asee unless otherwise.
Hapa kwa kweli tumemaliza kufyatua.
Hapo sawa kumbe itaondoka yenyewe.
Akivaa nguo anapendeza sana kama hajazaa vile. Perfect kabisa.
 
Basi lisikusumbue hilo tumbo, akimaliza kunyonyesha akaachana na mi supu, uji na bia kama anakunywa litapungua kwa speed zaidi
Uzazi unatubadilisha sana wanawake ila kwa mwanaume anayejua anataka nini na anayejua alishiriki kwenye kufanikisha hiyo mikunjo kama wewe haiwezi mpa taabu

Big up mkuu
 
Back
Top Bottom