Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulisoma Rungwe sema chochote hapa
hivi bado ulanzi upo?
mi nimepita TUKUYU SEKONDARI, rungwe nilikuwa naenda kutembelea saana. tunapita KK, tunagonga kaulanzi kwanza.
Senya yuko dom ila namkumbuka sana na mbadala wake mwalituke,vp ntangu na kilimo chake aisee mambo ya mkwawa, mwaisela, lumumba, ramadhani hahahaaa
Maparachichi na ndizi je?
ndo nyie mliwadanganya watoto wa kayuki mnasoma PCK! teh!teh!
Senya yuko dom ila namkumbuka sana na mbadala wake mwalituke,vp ntangu na kilimo chake aisee mambo ya mkwawa, mwaisela, lumumba, ramadhani hahahaaa
Mwaisela my bweni bana . Kuna mwalimu anaitwa mbwanji hv huyu jamaa yupo kweli alikuwa hata simuelewi ? Mwalimu wa practical halafu kafanya mtihani wa advance HKL