Jamani mmemuona Jide

Jamani mmemuona Jide

mimi wanacelebity mmenishagaza sana ivi inakuwaje leo hii mumponde jide ivi?au ninyi mlikuwa mnampenda alivyokuwa na Gadner?..yaani halafu wanaomponda ndo haohao team Jide!ama kweli dont trust anyone!
 
Saivi kapata mtu mwingne au bado? Nikajrab bahati yngu
 
Unafikiri hawaelewi?!!

Wanaelewa sana sema katika kujifariji na ugumu wa maisha hujikuta wanawaongelea vibaya wenye mafanikio.....!

Exactly! Tena mengi humu ni madungayembe hayana hata wa kuwaambia habari gani dada! Ndo utayakuta usiku kucha mchana kutwa Ku comment!
Mwanamke mwenye mafanikio kiuchumi ni adui yao!
Badala ya ku support na kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa ,wanaomba dua afilisike, augue, ndoa ivunjike and all ill stuffs!
Shame on you my fellow women!
 
Nimegundua wanawake wengi especially wenye umri mdogo ( 20yrs-35yrs) huwachukia wenzao wenye mafanikio!

Huwaongelea vibaya wenzao hata kwa mambo ambayo yapo juu ya uwezo wa mwanadamu.....

Utasikia " ana sura mbaya,mweusi kama mkaa,hana shepu,mgumba,mwembamba kama kijiti,kichwa kikubwa,sura yakiume" na mengine mengi...

Sasa huwa najiuliza hivi wewe mwenye sura nzuri,shepu nzuri,mwenye kupata watoto na n.k lini ulimpa masharti Mungu kukuumba kama ulivyo?!

Binadamu tunajidanganyaga sana..... Hakuna mtu aliyempangia Muumba aumbwe kama alivyo.
...it is just "KOINSIDENSI" kuwa kama ulivyo hivyo huna haki yakumjadili mwenzako alivyo kimaumbile.....

Nitaelewa tukilaumiana kwa vitu vilivyochini ya uwezo wetu...kama utendaji kazi,kujishughulisha na nk

Mfano ukisema "Jide ni mvivu jamani,amekaa kula tu na kipiga umbea",hapo nitakuelewa ila sio jide anasura mbaya! Sasa alijiumba yeye?
—-----—★★★—---—------—★★
Binafsi nampenda sana jide coz anaonyesha njia kwa watoto wakike kwamba ukijituma utafanikiwa bila hata kutegemea kuhongwa kama wasichana wengi waleo wanavyotegemea.

Jide ametunza heshima yake kiukweli na unaweza ukaiona tofauti ya Jide na watu kama Ray C waliojiona wazuri.......
———--★★----——★★—--—★★
Ushauri.
★——-★
Wasichana mwangalieni jide kama mfano kwenu,acheni majungu na kumjaji jide vibaya.....

★UZURI UPO MOYONI KWA NJE MNAJIONGOPEA★.

Na kwa JIDE namwambia piga kazi kama kawaida yako,binadamu tuache tupige kelele tujifariji na umaskini wetu....

Usitushangae ni katika njia ya kujifariji na ugumu wa maisha ndo tunapokujadili jadili.★....

Thank you, like like like and one more like kweli kabisaa
 
Wanafiki tu hao wanaoanza kumponda jide leo...eti hazai mmejua mungu kawapangia nn na nyinyi..tusiingilie kazi ya mungu jaman
 
Yani hapo kapaka make up nyingi its too much!kisa ni jide ndio asiambiwe!!
 
Kapendeza kupaka mimekapu , wanawake cjui nani anawadanganya wanakuwa wazuri wakijipaka midude hy,
 
hiyo inaitwa makeup with purpose, mbona akiwa na captain hakuwahi kukandika makeuop hiviiii????
 
yani ni kama wapambe wake wamemuweka chini wakamwambia hakikisha unapendezaaaaa mpaka roho imlipuke,huyo ajiitae captain, pendezaa mpaka ajione majajitain sasa na yeye kwa vile uzuri wa natural hana, makepunist akapewa tenda
 
Nyie mnaomwita Jide mbaya....are you serious?
Mmemlinganisha na nani labda?
Acheni utani bhana
 
Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu, na pia site tumeumbwa na Mungu wewe nani hata uukosoe uumbaji wa Mungu? Wanawake ifike mahali tuache chuki zisizokuwa na maana, kisa tu mwenzetu ana mafanikio ama ni nini?
 
jide hajawah kupendeza toka nimemjua ninamheshimu sana ila spend tabia yake ya kutowaheshimu wanaume hii ni tabia mbovu na sio mfano wa kuigwa hongera marlow na besta
 
Na wewe c ukapake hiyo makeup kwani umekatazwa na nani? Wabongo bhana mko ma miwivu ya ajabu ka wachawi pyuuuuuuu

Huwa tunawanga wote...mfyuuu!narudia tena too much make up...nimwonee wivu mtu ambaye yupo ulimwengu mwingine mbali na maisha yangu we vipi!!kanunue ugomvi kwingine sitaki shobo!!
 
jide hajawah kupendeza toka nimemjua ninamheshimu sana ila spend tabia yake ya kutowaheshimu wanaume hii ni tabia mbovu na sio mfano wa kuigwa hongera marlow na besta

una uhakika?
unamjua gadna wewe?
unajua km ana ndoa ya kanisa imemshinda?
unajua km mkewe toka aolewe hajaachika na ana gud life kimtindo?
unajua kilichofanya waachane na mkewe?
unajua kua gadna kashafumaniwa sana na jide?
je we ungeweza kuishi na mwenza wa hvyo?
unajua ndoa yao ina miaka mingapi?
besta na marlow wameoana lini labda mpaka uwafananishe?
tatizo watu humu wana negative attitude kwa jide so chochote cha jide anaoneka mbaya ila kiukweli ile ndoa jide ameipigania ile ndoa na wanawake wakipenda wanapenda kweli na wakisema its overrr...!!
bas ujue its overrr kweli
 
utakuwa na tatzo kubwa la kutokujielewa kabla hujaelewa soma kwa makin nlichoandka ndyo uje uropoke hapa
 
Back
Top Bottom