simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 928
- 1,012
bado sijatoboa,ila watu wasema" pesa wanazo masikini wa mtaani kwenu" hili ni fumbo ukiweza kulitegua utapata pesa nyingi tu,..... MO na bakharesa wameweza kutegua na ndio maana biashara zao wamewalenga watu masikini.mfano MO anauza juice ya ukwaju 300, lakini anatengeneza pesa mbaya,hauzi juice 5000, kwa maana matajiri hawanapesa za kumfanya akawa tajiri. tafakar CHUKUA hatuaa.......haki pesaaaaaaa,gwe gwe gwe
Africa wenye kipato kidogo na cha chini ni wengi, hivyo ukifanya biashara kuwalenga hao na ukawa mvumilivu kwa kukusanya miamia zao kwa muda mrefu lazima utoboe.
Lakini pia siku zote Production inalipa kuliko uchuuzi, hawa akina Mo na Bakhressa wamejikita sana kwenye production na hili liko sana na kwa hawa wenzetu wahindi na waarabu.
Nashangaa wajasiliamari wetu, unakuta anauza mfano mafuta ya Nazi 15000, kichupa kidogo, yaani Bei inazidi bidhaa ya hivyo hivyo kutoka China.bado sijatoboa,ila watu wasema" pesa wanazo masikini wa mtaani kwenu" hili ni fumbo ukiweza kulitegua utapata pesa nyingi tu,..... MO na bakharesa wameweza kutegua na ndio maana biashara zao wamewalenga watu masikini.mfano MO anauza juice ya ukwaju 300, lakini anatengeneza pesa mbaya,hauzi juice 5000, kwa maana matajiri hawanapesa za kumfanya akawa tajiri. tafakar CHUKUA hatuaa.......haki pesaaaaaaa,gwe gwe gwe
Biashara ni pasua kichwa , unaweza ukapata fursa nzuri mf. Duka dogo mtaani , mwenzako anauza ila wewe unatembelewa na yale mainzi makubwa ya chooni .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ushajaribu?Best yangu production kibongo bongo ina ukiritimba sana!..ndo maana wachache wanatoboa...
[emoji38][emoji38][emoji38]nimekukubalibado sijatoboa,ila watu wasema" pesa wanazo masikini wa mtaani kwenu" hili ni fumbo ukiweza kulitegua utapata pesa nyingi tu,..... MO na bakharesa wameweza kutegua na ndio maana biashara zao wamewalenga watu masikini.mfano MO anauza juice ya ukwaju 300, lakini anatengeneza pesa mbaya,hauzi juice 5000, kwa maana matajiri hawanapesa za kumfanya akawa tajiri. tafakar CHUKUA hatuaa.......haki pesaaaaaaa,gwe gwe gwe
Ooh ok, kwa huko ni pazito , Kuna family member yeye alikua na kiwanda cha sembe..Kuna wakati nilisimama kiwandan kwake hapo , aisee.. biashara ilikua imenyooka mno , kaja kujichanganya mwenyewe baadae..mambo mengii wakati bado hajawa mkubwa ile ile..kaanguka, ndio anaanza tenaNiliwahi fikiria kutengeneza wine ya strawberry ...vizingiti mob!
Theories za kupata hela ni nyingi sanaWanasema ukiweza kusolve matatizo sehemu inayokuzunguka basi ww utaona pesa inakufuata!
Ah haya mambo bwana!..ila hela kitaani ipo..jinsi ya kuinyakua sasa!
Kajichanganya kiaje? au aliidhamini Yanga akafulia? au alianza hizi siasa uchwara za bongo?Ooh ok, kwa huko ni pazito , Kuna family member yeye alikua na kiwanda cha sembe..Kuna wakati nilisimama kiwandan kwake hapo , aisee.. biashara ilikua imenyooka mno , kaja kujichanganya mwenyewe baadae..mambo mengii wakati bado hajawa mkubwa ile ile..kaanguka, ndio anaanza tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe moja bossTheories za kupata hela ni nyingi sana
Ooh ok, kwa huko ni pazito , Kuna family member yeye alikua na kiwanda cha sembe..Kuna wakati nilisimama kiwandan kwake hapo , aisee.. biashara ilikua imenyooka mno , kaja kujichanganya mwenyewe baadae..mambo mengii wakati bado hajawa mkubwa ile ile..kaanguka, ndio anaanza tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kile unachokipenda saanaàaaaNipe moja boss