Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

Acha tu, elimu ya darasani hana..kaishia la 7, sema janja janja Sana...Ana uelewa mkubwa Sana wa mambo mengi , sijui kama Kuna Jambo utamuuliza au connection akakosa njia

Sema sasa mtoto wake wa Kwanza (kwangu ni Dada) hana interest yeyote ya biashara, wakat mzee alipeleka nje mtoto aje asimamie kampun, kasoma fresh, karudi kala hamsini zake [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua fursa hapo sasa, jifunzi kitaalojia hapo. Mzeee ana degree ya mtaan na ndio real life, jifunze pata connection, jua wapi upite. Then utaja simama mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu weusi huwa tunashindwa kuwalea watoto ili waje kuendeleza mali za familia. Wenzetu wahindi na waarabu hapo ndipo hutuacha mbali mno,
Acha tu, elimu ya darasani hana..kaishia la 7, sema janja janja Sana...Ana uelewa mkubwa Sana wa mambo mengi , sijui kama Kuna Jambo utamuuliza au connection akakosa njia

Sema sasa mtoto wake wa Kwanza (kwangu ni Dada) hana interest yeyote ya biashara, wakat mzee alipeleka nje mtoto aje asimamie kampun, kasoma fresh, karudi kala hamsini zake [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu, elimu ya darasani hana..kaishia la 7, sema janja janja Sana...Ana uelewa mkubwa Sana wa mambo mengi , sijui kama Kuna Jambo utamuuliza au connection akakosa njia

Sema sasa mtoto wake wa Kwanza (kwangu ni Dada) hana interest yeyote ya biashara, wakat mzee alipeleka nje mtoto aje asimamie kampun, kasoma fresh, karudi kala hamsini zake [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya biashara ni tofauti sana na elimu ya darasani, wengi hawaelewi hilo na kuzani kuwa kufanya biashara unaitaji elimu ya darasani sio kweli. Ukiwa na elimu ya biashara utawaajili hao wa darasani kwa sababu wa darasani wameandaliwa kuwatumikia wenye elimu ya biashara
 
Kutanuka kunaendana na mfuko ulio nao kwa wakati huo , unatanuka taratibu..ukizidi uwezo wako tegemea lolote tu , mafanikio ya haraka au kuyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutanuka kwa haraka maana yake ni kuweka mtaji kwenye mashine au kitu cha kuzalishia ukakosa kabisa hela ya kuendeshea biashara kwa maana ya kuweza kununua mzigo wa kuzalishia mali hela imefungwa kwenye mashine na kukosa hela kuendesha biashara
 
Ingia Kwanza kwenye biashara pengine utaelewa , au Kama tayari uko kwenye biashara jaribu kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una eneo kubwa, lima bustani ya mboga mboga, kama mchicha, chinese, maboga, makunde, matembele

Wateja wako ni

Mama ntilie au hotelini, huwa wanachukua oda kubwa hawa,

Majumbani( individual)

Waranguzi

Magengeni

Etc.

Additional efforts hapo, ni wewe tu kuongeza dhamani ya mboga zako.

Kazi kwako mzee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio kweli, labda ungesema mitaji ndo tatizo ungeeleweka. Ila production ni kitu kinalipa sana, talking from experience

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie nimemanisha ukiritimba jinsi ya kupata documentation mkuu..process ni nyingi na za kukera..najua it pays..ukitusua tu hata kutengeneza formula yako ya achali ww umshakuwa level nyingine
 
Back
Top Bottom